• Habari
  • Ajira
  • Picha
  • Video
  • Data
  • Mwananchi.AfyaYangu

Afya Yangu na Mwananchi

Hujaandikiwa dawa? Hamna shida

May 21, 2018 by Esther Karin Mngodo Leave a Comment

Hujaandikiwa dawa? Hamna shida

Dar es Salaam. Sio kila homa ni Malaria, nenda ukapime. Bila shaka maneno haya sio mageni kwa watanzania wengi kwani yamewahi kuwa wimbo wa kampeni ya kitaifa katika kuwahimiza watu wasiwe na tabia ya aidha kwenda kujinunulia dawa kwenye duka la dawa bila kwenda kwa daktari, na hivyo kutibu ugonjwa ambao pengine sio ambao wanaumwa na wanaopaswa kuutibu.  Ukisikia kichwa [Soma Zaidi]

Dawa zinanunulika?

May 21, 2018 by Esther Karin Mngodo Leave a Comment

Dawa zinanunulika?

Dar es Salaam. Mariana Hinju (35), anakumbuka jinsi ambavyo alimuuguza mama yake mwaka mmoja uliopita. Hinju, ambaye ni mama wa watoto wanne, alimleta mama yake kutoka Bukoba ili apate huduma nzuri ya matibabu ya macho.  “Mama alikuwa na mtoto wa jicho. Ilibidi afanyiwe upasuaji kwenye macho yote mawili. Kwahiyo nikamleta Dar es Salaam ili apate huduma nzuri,” alisema Hinju. [Soma Zaidi]

Recent Posts

  • Afya ya uzazi wa mpango yapata pigo kwa punguzo la bajeti
  • Je, dawa uliyonunua ni bandia?
  • Hujaandikiwa dawa? Hamna shida
  • Je, wanawake wa Tanzania wanajifungulia wapi?
  • Dawa zinanunulika?

Recent Comments

    Archives

    • June 2018
    • May 2018

    Categories

    • Dawa
    • Uncategorized

    Meta

    • Log in
    • Entries feed
    • Comments feed
    • WordPress.org

    Mwananchi Communications Ltd is a multimedia company and publisher of Tanzania’s leading daily Kiswahili newspaper Mwananchi and Mwananchi Jumapili, its Sunday edition.

    The Health Portal is a collaboration between Mwananchi and Code for Tanzania, a civic tech and data-journalism initiative, part of a continent-wide Code for Africa project.

    Other Projects:
    • HURUmap Tanzania
    • Open Data TZ
    • The Citizen My Health
    • Mwananchi Data Portal

    Join our community:
    • HacksHackers Africa

    Copyright © 2023 · Magazine Pro Theme on Genesis Framework · WordPress · Log in