Dar es Salaam. Tanzania ni kati ya nchi yenye kiwango kikubwa cha uzazi, ambapo tunashikilia nafasi ya 16 kati ya nchi 225. Serikali imekuwa ikijitahidi kuongeza huduma za uzazi wa mpango kote nchini. Hata hivyo, jitihada hizo zimepata mkwamo kwani bajeti ya afya imepunguzwa kwa kiasi cha asilimia 20 katika mwaka wa fedha ujao 2018/19. Serikali ina malengo makubwa kuhusu [Soma Zaidi]